Thursday, 23 January 2014

VITUKO 10 VYA SIMU ZA KICHINA

1. Unaweza pata kwa Shs 5,000 tu
2. Inapata chagi ndani ya dakika tatu
3. In TV, Radio, interneti, tochi,
kamera, screen za kushika, yaani
touch screen, kata kucha, kiwashio
cha sigara, opener nk
4. Unaweza kuandika kwa kutumia
vijiti
5. Makosa madogomadogo kama
NokLa, blackderry, i-porn, samswag
nk
6. Ndege ikipita inasema  “one missed
call”.
7. Lori likipita inaonyesha “charger
connected”.
8. Mchina akipita inaonyesha “one
Bluetooth device found”.
9. Ni disposable, ikiharibika
haitenngenezeki, ni ya kutupa tu
0. Zinapatikana karibu kwa sura zote
yaani unaweza kupata Iphone,
Samsung, nokia, sony, HTC nk


Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment